Amejibu Maombi – Agape Gospel Band Ft Rehema Simfukwe

a-z lyrics adaptation de chant Lyrics lyrics_A

Ref1.
Amejibu Maombi, (He has answered prayer
amejibu kwa wakati bwana, (the Lord answered in His time
amejibu haha y’a moyo, (He gave me my heart’s desire
jamani YESU Amefanya, (Indeed the Lord has done it!


couplets 1er.

Sioni haya, Kusema kwamba ni wewe (I’m not ashamed to say that it is your doing
‘’UMEFANYA!’’

Acha mataifa wote wajue kwamba eeg!! (Let all the nations know thé it is
‘’UMETENDA!’’ (Your Doing

Mungu ninayemwamini, ni mungu wa (The God I believe in is a God OF WONDERS
‘’AJABU!’’

Anayofanya kwangu NI MAMBO YA….( The things he does for me are WO?DERFULL things
‘’ AJABU’’

reprise des couplets 1er
(baba) Sioni haya, Kusema kwamba ni wewe
‘’UMEFANYA!’’…

Reprise du refrain

couplets 2em.

a) Oh Mimi ni kinara eeh! (I’am a beacon, beacon
‘’Kinara’’
Mimi ni kinara eeh!
’Kinara’’
Mimi ni kinara eeh!
‘’nimeitwa kuangaza eeh!’’ (I have been called forth to shine

b) Mimi ni wajuu! we! (I am at the top, at the very top
‘’juu Sana’’
Mini ni wajuu! we!
‘’juu Sana’’
Mini ni wajuu! we!
‘’nimeinuliwa na bwana eeh’’ The Lord has lifted me up

reprise couplets 2em

YESU EEH AMENIINUA EEH! (x8) ( JESUS has lifted me up

reprises couplets 2em
a)
b + variante:) Nimeinuliwa na bwana!! (I am at the top, at the very top